1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.06.2024 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S27 Juni 2024

Licha ya Rais William Ruto kutangaza kukubali matakwa ya kuuondowa kabisa mswaada wenye utata wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024 ambao ulikuwa upandishe kiwango cha kodi, vijana nchini Kenya wanarejea tena mitaani kwa maandamano+++Mwanajeshi mmoja wa Israel ameuawa na mwingine amejeruhiwa vibaya wakati wa operesheni ya kijeshi katika eneo linalokaliwa na Israeli la Ukingo wa Magharibi

https://p.dw.com/p/4hZpz