1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.06.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S27 Juni 2024

Wakati mapigano baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 yakiendelea kupamba moto katika baadhi ya maeneo mkoani Kivu Kaskazini, Waziri Mkuu Judith SUMINWA+++Viongozi wa Umoja wa Ulaya wako tayari kuwaidhinisha Ursula von der Leyen, António Costa na Kaja Kallas kama viongozi wakuu wa taasisi hiyo inayoyajumuisha mataifa 27 kwa miaka ijayo.

https://p.dw.com/p/4hbNc