1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.09.2021 Matangazo ya Jioni

26 Septemba 2021

Wajerumani leo hii wameshiriki zoezi la upigaji kura, lenye kutajwa kuwa moja kati ya uchaguzi usiotabirika katika historia ya hivi karibuni, na wenye kukaribiana sana katika kipindi hiki ambacho Kansela Merkel anajiandaa kukaa pembeni ya uringo wa kisiasa baada ya miaka 16 mamlakani.

https://p.dw.com/p/40t1j