1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.07.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Julai 2024

Israel inataka kufanyia mabadiliko mpango wa usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza na kuachiliwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas+++Vikosi vya jeshi la Nigeria na idara ya usalama ya DSS vimeonya dhidi ya ghasia za mtindo wa Kenya katika maandamano yanayopangwa kufanyika nchini humo wiki ijayo.

https://p.dw.com/p/4inCs