1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.06.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Juni 2024

Kenya- Ruto auondoa kabisa muswada wa fedha 2024+++Polisi nchini Uganda wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga ujenzi wa bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania+++Mgomo wa wafanyabiashara katika soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania

https://p.dw.com/p/4hYBG