1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.06.2024 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S26 Juni 2024

Rais wa Kenya William Ruto amelihutubia taifa usiku wa kuamkia leo na kusema maandamano ya kupinga ongezeko la kodi na ushuru yalivamiwa na makundi ya wahalifu+++Vyama vya mrengo wa wastani wa kulia nchini Ujerumani, vinavyoongoza kwenye kura za maoni, vimekaza zaidi mtazamo wao kuelekea wakimbizi wa Ukraine+++Mkuu wa jeshi la Anga la Marekani anafanya ziara ya nadra barani Afrika

https://p.dw.com/p/4hWGE
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Deutsche Welle Logo
Picha: Marius Becker/dpa/picture alliancePicha: Marius Becker/dpa/picture alliance

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)