1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.06.2022 Matangazo ya Jioni

26 Juni 2022

Rais Joe Biden wa Marekani leo hii amepongeza muungano wa kimataifa katika kukabiliana na Urusi, katika kipindi hiki ambacho yeye na viongozi wengine wa mataifa yaliyopiga hatua kiviwanda G7 wakiweka mikakati kuendeleza shinikizo katika jitihada zao za kuitenga Urusi kutokana na uvamizi wake wa Ukraine.

https://p.dw.com/p/4DH8r