1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.05.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S26 Mei 2021

Rais Evariste awakemea waharibifu wa usalama Burundi/ Congo: Serikali imetangaza kuwatolea msaada wa kiutu zaidi ya watu elfu tano waliopoteza makaazi yao katika mripuko wa volkano Nyiragongo/ Blinken akutana na rais Abdel Fattah el-Sissi na viongozi wakuu nchini Misri/ Wakfu unaoshughulikia mahusiano ya Ujerumani na bara la Afrika> Mahojiano/ Kenya: Ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia

https://p.dw.com/p/3u0CC