1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.07.2024 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S25 Julai 2024

Rais Joe Biden wa Marekani ameelezea uamuzi wake wa kukabidhi kijiti cha uongozi kwa makamu wake Kamala Harris+++Marekani imesema inakusudia kuiwezesha Tanzania kwa misaada ya kiusalama ili kukabiliana na kitisho cha ugaidi hasa katika eneo la kusini katika mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji.

https://p.dw.com/p/4iioe