1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.07.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Julai 2024

Huko Kenya hatimaye baraza la mawaziri la Kenya limekamilika katika juhudi za kushajiisha umoja wa kitaifa+Baada ya kujiondoa katika kinyang'anyiro cha urais, Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuhutubia taifa+Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema inawezekana kabisaa kwa makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris kushinda uchaguzi wa rais wa Novemba.

https://p.dw.com/p/4ih0o