1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.07.2024 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Julai 2024

Mji wa Kampala umeamkia hali ya taharuki ambapo polisi na majeshi wameweka doria kali kuyadhibiti maandamano ya vijana wanaopinga ufisadi uliokithiri+++Makundi mbali mbali ya Palestina ikiwemo Hamas na chama cha Fatah wamekubaliana kumaliza tofauti zao na kuunda serikali ya Umoja wa kitaifa

https://p.dw.com/p/4id0k