1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.07.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Julai 2024

Maandamano ya Kenya yanayoendelea kwa ajili ya kuishinikiza serikali, yameingia wiki yake ya sita+++Ligi kuu za soka barani Ulaya na muungano wa kimataifa wa wachezaji Fifpro zitaanzisha hatua za kisheria dhidi ya shirikisho la soka duniani FIFA kutokana na kile walichokiita “matumizi mabaya ya mamlaka” yake katika soka

https://p.dw.com/p/4idsr