Imetimia miaka miwili tangu Urusi kuivamia Ukraine+++Idadi ya waliouwawa katika kwa makombora ya Israel kipindi cha masaa 24 katika Ukanda wa Gaza imefikiwa watu 100+++Senegal bado iko kwenye mkwamo wa kisiasa kufuatia hatua ya kuakhirishwa uchaguzi wa rais+++Ofisi ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva inasema maelfu ya raia wameshauwa nchini Sudan