Rais wa Uganda Yoweri Museveni aongoza katika matokeo ya uchaguzi wa Rais dhidi ya mpinzani wake Kizza Besigye// Azimio la Urusi la kutaka utawala wa Syria uheshimiwe lapingwa katika Baraza la Umoja wa Mataifa// Uingereza yafikia makubaliano na Umoja wa Ulaya kuhusu kuufanyia mageuzi muhimu umoja huo ili isalie katika Umoja wa Ulaya