1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.05.2021 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

19 Mei 2021

Kiongozi wa dini ya Kiislamu, Sheikh Moussa Djamali ameuwawa kwa kupigwa risasi baada ya sala ya jana jioni huko mjini Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemiokrasia ya Congo, kikitajwa kuwa ni kisa cha pili cha mauwaji ya aina hiyo kwa mwezi huu.

https://p.dw.com/p/3taEC