1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.09.2021 matangazo ya Jioni

18 Septemba 2021

Wiki moja kabla ya uchaguzi mkuu wa Septemba 26 nchini Ujerumani, mgombea wa kambi ya kihafidhina Arimin Laschet amesalia kuwa mwenye kujiamini ingawa uchunguzi wa maoni unaendelea kumuonesha kuwa yupo nyuma ya mgombea wa chama cha Social Democrats SPD, Olaf Scholz

https://p.dw.com/p/40VIi