1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.06.2017 Matangazo ya Asubuhi

17 Juni 2017

Kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl , msanifu wa muungano wa Ujerumani mbili na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika karne iliyopita, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.

https://p.dw.com/p/2eqoy