1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.07.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Julai 2024

Wasudan milioni 10, au asilimia 20 ya idadi jumla ya watu nchini Sudan wamelazimika kuyakimbia makaazi yao tangu kuzuka kwa vita nchini humo kati ya jeshi chini ya uongozi wa Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na kikosi cha wanamgambo cha RSF+++Hali ya kawaida inaanza kurejea baada ya maandamano kufanyika kwenye miji kadhaa kote nchini kushinikiza uwajibikaji na kuwakumbuka waliouawa

https://p.dw.com/p/4iNvi