1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.07.2024 Matangazo ya Jioni

Josephat Charo
13 Julai 2024

Watu wapatao 71 wauawa katika shambulizi la Israel katika Ukanda wa Gaza..Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akutana na Waziri mkuu wa Ireland. Na wafungwa watano na walinzi watatu wauawa katika kabiliano ya risasi katika gereza la Mogadishu, Somalia.

https://p.dw.com/p/4iFux