1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.04.2019 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S13 Aprili 2019

Kiongozi wa baraza la mpito la kijeshi nchini Sudan asema serikali ya kiraia itaundwa nchini humo. Majaji na wanasheria nchini Algeria wameandamana kutaka mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa mahakama. Ujerumani imesema itawapokea wahamiaji 26 waliokwama kwenye meli ya uokozi karibu na Malta

https://p.dw.com/p/3GjMs