1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.04.2019: Matangazo ya Asubuhi

13 Aprili 2019

Yaliyomo kwenye matangazo ya asubuhi ni kiongozi wa baraza la kijeshi la mpito nchini Sudan ajiuzulu, Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un asema yuko tayari kwa mkutano wa tatu wa kilele na Rais Donald Trump wa Marekani na mahakama ya ICC yakataa ombi la kuanzisha uchunguzi wa uhalifu wa kivita nchini Afghanistan.

https://p.dw.com/p/3GiCG