1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.07.2024 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Julai 2024

Viongozi wa Jumuiya ya kujihami ya NATO waliokusanyika mjini Washington, wanatarajiwa kufanya mazungumzo zaidi na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliyeahidiwa na muungano huo kupewa misaada zaidi ya kijeshi+++Umoja wa Mataifa umesema kuwa, amri ya jeshi la Israel ya kuwataka raia waondoke katika mji wa Gaza, utawasababisha wakaazi hao mateso makubwa

https://p.dw.com/p/4iA24