1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Julai 2024

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemwambia mwenzake wa Urusi Vladimir Putin kwamba suala la amani ndio la muhimu zaidi kwa sasa na kwa namna yoyote ile vita haviwezi kuwa suluhu ya matatizo+++Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa limezituhumu Rwanda na Uganda kuwaunga mkono waasi wa M23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

https://p.dw.com/p/4i4bx
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus Flash-Galerie
Picha: picture-alliance/ dpaPicha: picture-alliance/ dpa

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)