1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.10.2023 Matangazo ya Mchana

8 Oktoba 2023

Vikosi vya Israel vinapambana na wapiganaji wa Hamas na kushambulia maeneo ya Ukanda wa Gaza, huku Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akionya kuhusu vita vya "muda mrefu na vigumu" vilivyo mbele, alivyosema vimesababishwa na mashambulizi makubwa ya kushitukiza ya kundi hilo la wanamgambo wa Palestina.

https://p.dw.com/p/4XGKo