1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.07.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Julai 2021

Rais wa Haiti auwawa baada ya kushambuliwa kwenye makaazi yake ya kibinafsi/ Mapambano na Taliban yashika kasi huko Afghanistan/ Waziri wa Kenya anayehusika na Jumuia ya Afrika Mashariki, yuko ziarani Burundi/ Bachelet ametahadharisha juu ya hali mbaya inayoendelea nchini Myanamar/ England inashuka dimbani leo dhidi ya Denmark katika nusu fainali ya pili ya mashindano ya Kombe la Ulaya - Euro 2020

https://p.dw.com/p/3wArC