1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.08.2018 Asubuhi: Taarifa ya habari

6 Agosti 2018

Watu 82 wafariki Indonesia kufuatia tetemeko la ardhi. // Viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na makamu wa zamani wa rais Riek Machar, wamesaini makubaliano ya mwisho ya kugawana madaraka.// Rais wa Marekani Donald Trump, amekiri mwanaye alikutana na wakili wa Urusi, kupata habari zinazomhusu mshindani wake-Hillary Clinton

https://p.dw.com/p/32euN