1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.02.2017 Matangazo ya Jioni, DW, Idhaa ya Kiswahili

Mohammed Dahman4 Februari 2017

Rais wa shirikisho la ujerumani, Joachim Gauck azitaka nchi za Ulaya kuonyesha msimamo wao kwa uwazi kuhusu amri ya raia wa Marekani Donald Trump ya kuwazuia raia wa nchi 7 zenye waislamu wengi kuingia Marekani, Irani yafanya mazoezi ya kijeshi na jaribio la roketi ikiwa ni siku moja baada ya kuwekewa vikwazo na Marekani na saratani yaendelea kuwa tishio katika nchi zinazoendelea

https://p.dw.com/p/2Wz5q