Miongonig mwa taarifa zilizoandaliwa ni pamoja na: Uingereza na Norway zimeahidi kutoa fedha zaidi katika mkutano wa wafadhili mjini London leo//Nchi karibu12 zimetia saini rasmi makubaliano ya kibiashara ya mataifa yanayopakana na bahari ya Pacific nchini New Zealand.