1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zuli Comedy na maisha ya jamii ya Wachagga

Veronica Natalis
3 Agosti 2023

Ni kundi la sanaa ya vichekesho lililojizolea umaarufu mkubwa nchini Tanzania, linalojulikana kwa jina la Zuli Comedy. Pamoja na mambo mengine wanayoyawasilisha kupitia sanaa hiyo ya vichekesho lakini wanafahamika zaidi kwa kuigiza mambo mengi ya jamii ya kabila la Wachaga, wenyeji wa mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania. Vernica Natalis analiangazia kundi la Zuli Comedy.

https://p.dw.com/p/4Uk5p