1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zitto amgomea waziri wa mambo ya ndani Tanzania

1 Agosti 2018

Waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amemtaka mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha upinzani nchini humo cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe kujisalimisha kwa kamanda wa polisi wa mkoani Lindi kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi. Hata hivyo Zitto amesema waziri Lugola hana mamlaka ya kumkamata. Lillian Mtono amezungumza na Zitto katika mahojiano hapo chini.

https://p.dw.com/p/32QTL