1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zimbabwe:Vurugu, ukandamizaji haki za raia kuelekea uchaguzi

Saleh Mwanamilongo17 Agosti 2023

Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Right Watch limesema katika ripoti yake kwamba, mamlaka nchini Zimbabwe zimeshindwa kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwezi Agosti unakuwa huru na haki. Je nini kimo ndani ya ripoti? Sikiliza makala ya Mbiu ya Mnyonge.

https://p.dw.com/p/4VHqy