1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zimbabwe baada ya vurugu za uchaguzi

Sylvia Mwehozi
2 Agosti 2018

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ataka uchunguzi huru kuhusiana na machafuko yaliyotokea mjini Harare, mnamo ambapo tume ya uchaguzi ikitarajiwa kutangaza matokeo ya urais. Papo kwa Papo 02.08.2018.

https://p.dw.com/p/32V2c