1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zilongwa mbali zitendwa mbali, Vita dhidi ya ajira ya watoto

Josephat Charo
11 Juni 2021

Chukua Hatua sasa: Tokomeza ajira kwa watoto! Hii ndiyo kauli mbiu ya siku ya kimataifa ya kuhamasisha mapambano dhidi ya ajira kwa watoto ya mwaka huu wa 2021 inayoadhimishwa Juni 12. Mwaka huu siku hii inaangazia hatua zilizochukuliwa katika kutokomeza ajira kwa watoto.

https://p.dw.com/p/3ulrm