1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya waandishi wa DW kuripoti uchaguzi wa Ujerumani

7 Septemba 2021

Harrison Mwilima, ripota wa DW Kiswahili-Berlin ni miongoni mwa timu ya waandishi wa DW wanaozunguka kote Ujerumani kabla ya uchaguzi mkuu Septemba 26. Safari yao imeanzia katika bunge la shirikisho Bundestag. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/401xb