1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Rais Samia wa Tanzania kuelekea China

2 Novemba 2022

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajiwa kufanya ziara China kuanzia tarehe 2 hadi 4 Novemba kufuatia mwaliko wa Rais wa China, Xi Jinping. Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na kiongozi wa juu kutoka bara la Afrika, tangu Rais Xi alipochaguliwa tena na Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomyunisti cha China. Msikilize Daniel Gakuba akizungumza na mwanadiplomasia wa zamani balozi Ami Mpungwe.

https://p.dw.com/p/4Ix5I