1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya kwanza ya Kansela Olaf Scholz

9 Desemba 2021

Baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kwa Kansela mpya wa Ujerumani Olaf Scholz, rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alimuandikia kwamba watakutana siku ya Ijumaa. Kansela Scholz anatarajiwa kusafiri kwenda Paris na Brussels katika ziara yake ya kwanza nje ya nchi baada ya kuchukuwa hatamu za uongozi.

https://p.dw.com/p/442TY