1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yafikia asilimia 98 utoaji chanjo Polio

Grace Kabogo19 Mei 2022

tangu tanzania ilioanzisha kampeni ya kuchanja dhidi ya Polio upande wa Zanzibar zoezi hilo linatajwa kuwafikia zaidi ya watoto laki mbili walio chini ya umri wa miaka mitano wanaolenga na zoezi hilo. Kufahamu zaidi Grace Kabogo amezungumza na Dokta Ali Said Nyanga, Mkurugenzi wa Kinga na Afya katika Wizara ya Afya ya Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4BaEg