1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: wanachama wa ACT-Wazalendo waachiliwa huru

Lilian Charles Mtono6 Novemba 2020

Wafuasi wa upinzani waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi Zanzibar, wameachiliwa huru kwa dhamana. Walikamatwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria. Sikiliza mahojiano na kamanda wa polisi Awadhi Juma visiwani humo.

https://p.dw.com/p/3kwqn