1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Viongozi wastaafu wamzungumzia marehemu Mkapa

Salma Said27 Julai 2020

Wakati Serikali inajiandaa kumpumzisha Rais Mstaafu Benjamin Mwillium Mkapa kijijini kwao Mtwara hapo Jumatano, baadhi ya viongozi wastaafu visiwani Zanzibar wanaendelea kumzungumzia walivyoshirikiana naye wakati wa uhai wake katika kuendeleza taifa.

https://p.dw.com/p/3fy1S