1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zaidi ya wasichana 3,000 waliotoroshwa Uganda waokolewa

Lubega Emmanuel1 Agosti 2022

Mamlaka nchini Uganda zimethibitisha kuwa zaidi ya wasichana 3,000 waliotoroshwa kutoka nchini humo wameokolewa katika nchi jirani ya Kenya na hivi karibuni watarudishwa na kuungana na jamaa zao. Idadi kubwa ya wasichana hao ni kutokea jamii ya Wakaramoja na wamekuwa wakitumikishwa kazi mbalimbali nchini Kenya. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4Eyjk