1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yanga yaangukia pua dabi ya Mzizima

18 Machi 2024

Ligi kuu ya soka Tanzania bara iliendelea Jumapili (17.03.2024) katika mzunguko wa 21 kwa mechi moja ya dabi ya Mzizima kati ya Azam Yanga ambapo Azam ilifanikiwa kupata ushindi wa kwanza wa goli 2-1 dhidi ya Yanga SC. Sikiliza ripoti ya Mhindi Joseph, mwandishi wa michezo wa DW, Tanzania. (Pichani)

https://p.dw.com/p/4ds9o