1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyojiri Afrika wiki hii

5 Agosti 2022

Miongoni mwa yale yaliyojitokeza katika bara la Afrika wiki hii ni pamoja na: Joto la kisiasa lapanda Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti 9// Rais wa Zambia Hakainde Hichilema afanya ziara nchini Tanzania na Sudan Kusini yarefusha muda wa serikali ya mpito kwa miaka miwili. Kwa hayo na mengine mengi ungana naye Josephat Charo katika kipindi cha Afrika Wiki Hii.

https://p.dw.com/p/4FC0X