1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyogonga vichwa vya habari kwenye Afrika Wiki Hii

13 Oktoba 2023

Amina Abubakar yupo nawe katika Makala hii ya Afrika Wiki Hii, akiyaangazia maoni ya Afrika juu ya mzozo kati ya wanamgambo wa Hamas na Israel, vikosi vya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kutakiwa kuondoka Congo kwa madai ya kushindwa kulidhibiti kundi la waasi wa M23 na Rwanda yashutumiwa kuwaua, kuwashambulia na kuwapoteza wakosoaji wake walio nje ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/4XW36