1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wizara ya usalama wa ndani, Kenya yajitenga na vurugu za kampeni

Wakio Mbogho25 Januari 2022

Wizara ya usalama wa ndani nchini Kenya imejitenga na vurugu zinazoshuhudiwa wakati wa kampeni za uchaguzi. Wizara hiyo imewalaumu wanasiasa kwa kutowajibika. Wakati huo huo taifa hilo linaendelea kushuhudia idadi ndogo ya watu wanaojitokeza kujiandikisha kama wapiga kura. Mwandishi wetu Wakio Mbogho alituandalia ripoti ifuatayo kutoka huko.

https://p.dw.com/p/462yG