1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wiki ya vijana kukabiliana na uharibifu kwa vitendo

Sudi Mnette8 Desemba 2020

Siku hii inajulikana kama "Youth Climate Day Action" ambayo shughuli zake zilianza rasmi Desemba 5. Siku hii kila kijana alipo, iwe katika kundi fulani, la michezo au hata burudani anaweza kuibuka na wazo lenye kufuatiwa na jitihada ya kufanikisha ustawi wa mazingira. Msikilize kijana kutoka asasi ya Parvat ya Kenya, Abigael Kiprono akieleza umuhimu wa siku hii

https://p.dw.com/p/3mOBG