1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wenye jinsia mbili nchini Kenya waombewa sheria kuwalinda

Micheal Kwena (HON)17 Desemba 2021

Huko nchini Kenya, raia wametakiwa kuwapa heshima zao watu wenye jinsi mbili, maarufu kwa jina la huntha, kufuatia ripoti za kubaguliwa kwao kuendelea kuongezeka. Kulingana na shirika la kutetea haki za kibinadamu nchini humo, KNCHR, zaidi ya watu 1,500 wana jinsia mbili nchini humo. Sikiliza ripoti ya Mwandishi wetu Michael Kwena.

https://p.dw.com/p/44R6e