1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa zamani Hassan Nassor Moyo azungumzia uhuru wa Tanganyika

8 Desemba 2011

Hassan Nassor Moyo ni mmoja kati ya mawaziri wa mwanzo katika baraza la mawaziri wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ameongea na DW kuhusu miaka 50 ya uhuru.

https://p.dw.com/p/13Ofh
Zanzibar
Ufukwe wa ZanzibarPicha: picture-alliance / Bildagentur Huber

Imebakia siku moja Tanganyika ama Tanzania bara kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wake hapo kesho tarehe 9 Desemba. Sekione Kitojo amezungumza na mmoja kati ya mawaziri wa kwanza katika baraza la mawaziri wa muungano kutoka Zanzibar Hassan Nassor Moyo na alitaka kufahamu kama uhuru wa Tanganyika ulichangia kwa njia moja au nyingine mapinduzi ya Zanzibar.

Mwandishi : Sekione Kitojo / Interview

Mhariri: Mohammed Khelef