1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa Fedha Tanzania Mwigulu Nchemba kwenye Kinagaubaga

Deo Kaji Makomba/MMT21 Septemba 2021

Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania Mwigulu Nchemba atoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa IMF kwa taifa lake kupambana na COVID-19. Sikiliza kipindi hiki Nchemba akihojiwa na Deo Kaji Makomba wa DW mjini Dodoma.

https://p.dw.com/p/40bYR