1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss katika njia panda

Daniel Gakuba20 Oktoba 2022

Makala ya Mwangaza wa Ulaya, inaangazia mtafaruku nchini Uingereza, kufuatia mpango wa waziri mkuu Liz Truss kuhusu ukuaji wa uchumi, uliojumuisha punguzo la kodi linalowapendelea matajiri. Mpango huo uliitumbukiza nchi katika mzozo wa kiuchumi na kisiasa na Truss akaachana nao. Wachambuzi lakini wanasema tayari madhara yamekwishatokea, na Liz Truss atahangaika kuujengea imani utawala wake.

https://p.dw.com/p/4IRfm