1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wazazi watakiwa kupunguza matumizi ya simu za mkononi

14 Septemba 2018

Watoto wa Hamburg, Ujerumani wameandamana kupinga hatua ya wazazi wao kutumia zaidi simu za mkononi, na badala yake wamewataka watumie muda huo kucheza nao.

https://p.dw.com/p/34sQD